Saturday 25 January 2014

FA CUP: ARSENAL YAINGIA ROUND YA TANO KIRAHISI



Arsenal jana usiku iliigonga Coventry City mabao 4 kwa 0 na kuingia round ya 5...Lukas Podolski alichapa 2 ambalo bao moja alipewa pande na Mesut Ozil...Giroud alichapa goli mnamo dakika ya 84 kwa shuti la mbali kidogo na badake kidogo Santi Carzola alichapa bao kama hilo la Giroud...Covenrty City kipindi cha pili hawakuwa vilaza walikimbiza mpira na kugonga mwamba lakini bado Arsenal walikuwa juu ya kiwango...


Kilicho furahisha washabiki wa Arsenal jana usiku ni kuingizwa kwa dogo mmoja machachari sana ambaye anacheza midfield Gedion Zelalm...Huyu dogo anamiaka 16 na yuko timu ya vijana ya Ujerumani na pia anatokea Ethiopia...  Bofya hapa upate habari na stats za game hii...

No comments:

Post a Comment