Thursday 9 January 2014

SOCCER: JACOB MULENGA ATAKA KUONDOKA UTRECHT


Zambian striker Jacob Mulenga anataka kuondoka Utrecht baada ya hiyo club kushindwa kumlipa...Club ya Utrecht imepata matatizo ya kifedha na inashindwa kumlipa huyo Zambian International pesa zake...Jacob amesema kocha wake anataka abakie hapo kwasababu anaamini ni mchezaji mzuri...Season iliyopita alikuwa mfungaji bora na alikuwa anamabao 14...Timu nyingi zinamtaka ikiwemo Swansea, Wigan, Nottingham Forest na Bolton...

No comments:

Post a Comment