Sunday 12 January 2014

NFL: PATRIOTS YAIKIMBIZA COLTS


New England Patriots waliikimbiza Colts na kushinda game yao 43-22...Wakisaidiwa na RB (Running Back), LeGarrette, ambaye alipata TD (Touchdown) nne ambazo zilitokana na kukimbia takriban yadi 166...


Alisema "wakinikimbiza kwenye uwazi huwa hawanipati"...Pia Andrew Luck aliwasaidia aliporusha interception nne...Bofya hapa kwa habari zaidi za hii game..



No comments:

Post a Comment