Monday 13 January 2014

CHAN 2014: MALI YAISHANGAZA NIGERIA


Mali jana iliichapa Nigeria 2-1 kwenye mechi za mataifa ya Afrika zinazoendelea huko Cape Town South Africa...Mali ambayo iko Group A imeanza vizuri baada ya Abdoulaye Sissoko na Adama Traore (pichani)...Baada ya Mali kurarua defence ya Nigeria Sissoko alipiga mkwaju na kupachika bao la kwana na pia baada dakika chache Nigeria walikoswa mara mbili...dakika ya 50 Traore alipiga tobo goal keeper ya Nigeria Chigozie Agbim na kupachika bao la 2...Bofya upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment