Monday 27 January 2014

AUSTRALIAN OPEM: WAWRINKA AMEKIRI HAKUTEGEMEA KUSHINDA


Bingwa wa michuano ya Australian Open kutoka Uswiss Stanislas Wawrinka mwenye umri wa miaka 28 amekiri kuwa hakutegemea kushinda fainali dhidi ya bingwa wa dunia Rafael Nadal...Mafurahi kuwa namba tatu duniani na kumfunga bingwa wa dunia na anakuwa mchezaji wa kwanza kumfunga mmoja wa 'the big four' toka Del Potro 2009...

No comments:

Post a Comment