Sunday 19 January 2014

SNOOKER MASTERS 2014: SELBY KUKUTANA TENA NA O'SULLIVAN


Mark Selby atakutana na Ronnie O'Sullivan kwenye fainali ya michuano ya masters au mabingwa wa mabingwa wa mchezo wa snooker...Mark Selby ambaye ni namba mbili duniani alimchapa Shaun Murphy 6-1nakuingia fainali...Pia Ronnie alimchapa kirahisi Stephen Maguire 6-2...Mechi yao ya fainali itachezwa leo jioni...Bofya upate habari za fainali ya snooker...

No comments:

Post a Comment