Wednesday 29 January 2014

F1: VETTEL APATA WAKATI MGUMU KWENYE PRE-SEASON TESTING


Bingwa wa dunia Sebastian Vettel amepata wakati mgumu wakati yeye na timu yake ya RedBull wakijaribu gari lao vipya kwenye pre-testing huko Jerez Spain...Vettel aliweza kumaliza mizunguko 11 (11 laps) tu kwa siku mbili...Gari yake  inamatatizo hasa kwenye system ya energy-recovery...Ameweza kumaliza kwa mwendo mdogo kuliko wote..Mabadiliko makubwa kwenye sheria mpya ya F1 itasumbua kidogo lakini ndio mambo mapya hayo...Pata habari zaidi hapa...

No comments:

Post a Comment