Sunday 19 January 2014

AUSTRALIAN OPEN 2014: SERENA WILLIAMS NJE NA ANA IVANOVIC



Serena Williams ametolewa kwenye michuano mikali sana ya Australian Open huko Melbourne Australia...


Serena ametolewa na Ana Ivanovic 4-6 6-3 6-3 ni mara ya kwanza Ana anamchapa Serena baada ya kujaribu mara tano.

Serena alikuwa anasumbuliwa na mgongo ndio maana hakuweza kumchapa Ana...Bofya hapa upate habari za Melbourne....

No comments:

Post a Comment