Tuesday 7 January 2014

EPL: WALCOTT NJE MIEZI SITA NA NJE WORLDCUP


Theo Walcott atakuwa nje kwa muda wa miezi sita baada ya kuumia goti katika mechi ya FA Cup dhidi ya Tottenham ambayo walishinda 2-0...Kutokana na hali hii forward wa Arsenal atakosa World Cup ya mwaka huu huko Brazil ambayo inaanza June 12...Kutokana na madaktari Theo kaumia 'ruptured anterior cruciate ligament' na mpaka apone kabisa si chini ya meezi sita...Habari hizi ni pigo kubwa sana kwa Arsenal na kwa timu ya taifa ya England...Bofya hapa upate habari zaidi kuhusu Theo...

No comments:

Post a Comment