Wednesday 29 January 2014

EPL: PSG YAMNYAKUA YOHAN CABAYE


Yohan Cabaye anatarajiwa kutangazwa muda si mrefu kwamba amehamia PSG (Paris St-Germain) kutoka Newcastle United...


Cabaye ni mchezaji makini sana na position yake ni midfield au kwa lugha nyingine 'box-to-box midfielder' na inasemekana amenunuliwa kwa pound za uingereza milioni 19 au zaidi.

PSG sasa wanaongoza ligi yao ikifuatiwa na Monaco...

No comments:

Post a Comment