Tuesday 14 January 2014

EPL: ARSENAL YARUDI KILELENI


Arsenal jana usiku ilishinda mechi yake dhidi ya Aston Villa 2-1 na kurudi tena kuongoza premier league...


Mechi yao ya awali Astov Villa walishinda 3-1 katika uwanja wa Emirtes.

Mabao ya jana yalifungwa na Jack Wilshere na Olivier Girud kipindi cha kwanza.

Christian Benteke aliwapatia Aston Villa bao lakufuta machozi kipindi cha pili.

Benteke alikuwa tishio lakini drafti la Arsenal lilikuwa la kiwango cha juu...

No comments:

Post a Comment