Friday 10 January 2014

CAF: AFRICAN PLAYER OF THE YEAR NI YAYA TOURE


Confederation of African Football (Caf) yamtaja Yaya Toure kuwa mwanasoka bora Afrika. Yaya Toure ambaye anaichezea Manchester City anashinda tena hiyo tuzo kwa mara ya tatu mfululizo sasa...Watu wengine waliowahi kushinda mara tatu mfululizo ni Abedi Pele na Samuel Eto...Yaya pia alishinda Decemba tuzo ya BBC ya mwanasoka bora Afrika...

No comments:

Post a Comment