Sunday 19 January 2014

SOCCER: SIMBA YACHAPWA NA MTIBWA


Simba Sports Club au wana wa Msimbazi jana walichapwa kihalali na Mtibwa Sugar bao moja kwa mtungi kwenye mechi ya kirafiki katika uwanja wa Taifa jana...
Mtibwa walionyesha ujuzi zaidi na uelewa wa kucheza mpira ambapo mnamo wa dakika ya 65 Ally Masoud alitingisha nyavu.

Kipindi cha kwanza Simba walikoswa sana lakini kipindi cha pili ndio kilizalisha goli.

Hii mechi ilikuwa yakujiweka fiti kwa ligi ambayo karibu inaanza.

No comments:

Post a Comment