Friday 20 February 2015

VPL: YANGA KILELENI TENA

Simon Msuva...
Yanga imerudi tena kileleni baada ya kuwachapa Prisons mabao 3-0 huku Azam FC ikishikwa shati na Ruvu Shooting...Bao la kwanza lilitoka kwa Simon Msuva mapema baada ya kupokea mpira wa corner kutoka kwa Coutinho...Yanga sasa wako points 2 mbele katika game 14 walizocheza na jumla ya points ni 28...Azam FC wao wana points 26 katika game 14 walizocheza na Prisons hali yao iko tete kwani wako mkiani kabisa na points 11 katika game 14...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment