Friday 27 February 2015

QATAR 2022: BLATTER ASEMA LAZIMA IMALIZIKE IFIKAPO DECEMBER 18


Mzozo unaendelea juu ya lini World Cup ya Qatar 2022 ichezwe kwani kipindi cha kawaida cha mwezi wa 6 haitowezekana kucheza kutokana na joto kali huko Qatar...Vikao vinaendelea kutafuta muda muafaka wa kuchezana imependekezwa November na December ndio sahihi lakini jibu kamili litatolewa tarehe 20 March...Rais wa Shirikisho la Soka Duniani Fifa, Sepp Blatter, amesema ni lazima World Cup imalizike December 18 na si vinginevyo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment