Friday 27 February 2015

NBA: AFRICAN-AMERICAN WA KWANZA KUCHEZA NBA AFARIKI DUNIA


Earl Lloyd amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86...Lloyd alianza kucheza basketball kama professional October 31, 1950 akiwa na timu ya Washington Capitols na alikuwa mtu wa kwanza mwenye asili ya kiafrika kucheza basketball kipindi hicho...



Lloyd amefungulia milango kwa vijana wengi kupata nafasi ya kucheza basketball kipindi ambacho ubaguzi wa rangi ulikuwa mkubwa na mpaka miaka ya 60 na 70 mambo yakaanza kuwa afadhali...Max Sports na wadau tunakuombea upumzike kwa amani...Amen...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment