Tuesday 17 February 2015

FA CUP: MANCHESTER UNITED TIA MAJI TIA MAJI YAKIMBIZWA NA PRESTON


Katika mechi ambayo Manchester United walitakiwa kufanya kweli ni hiyo mechi dhidi ya Preston North End lakini walionekana wakicheza chini ya kiwago sana na kubadatisha ushindi kutoka nyuma wa 3-1...van Gaal amemshukuru sana Fellaini kwa kuwasaidia wasiumbuke na ni bao la 4 la Fellaini msimu huu...Kocha van Gal anafukuzia kombe lake la kwanza toka aichukue Man United...Man watakutana na Arsenal huko mbele...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment