Thursday 5 February 2015

AFCON 2015: TUNISIA HATIANI KUFUNGIWA


Tunisia iko hatiani kufungiwa na Caf kutokana na kauli yao yakusema Caf wezi...Tukio hilo lilitokea kwenye game kati ya Tunisia na Equatorial Guinea ambapo refa alitoa penalty ya uonevu na wchezaji wa Tunisia kuhamaki na kumzunguka refa na kutaka kumchapa...Refa ameshafungiwa miezi 6 kutokana na kuchezesha mpira vibaya...Caf waliwapa Tunisia mpaka leo waombe msamaha lakini wamegoma na kuendelea kulalamika kuwa walionewa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment