Monday 23 February 2015

LA LIGA: CRISTIANO RONALDO AMPITA CARLOS SANTILLANA KWA MABAO MENGI REAL MADRID


Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa 3 katika historia ya Real Madrid kuwa na mabao mengi...Christiano Ronaldo amempita Carlos Santillana ambae aliichezea Real Madrid 1971 mpaka 1988...Carlos alikuwa na magoli 286 kati ya mechi 645 alizochezea timu ya Madrid...Ronaldo sasa anamagoli 290 katitika mechi 281 alizocheza...Bado Ronaldo nafasi ipo ya kumfikia Raul amabe ndio anaongoza Real Madrid na magoli 323 katika mechi 741...Ronaldo aliweza kuwa wa 3 baada ya kupata bao kwenye mechi dhidi ya Elche na Madrid walishinda 2-0...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment