Sunday 15 February 2015

EPL: ANDY CARROLL NJE MSIMU ULIOBAIKIA


West Ham watampoteza striker wao Andy Carroll kwa msimu mzima uliobakia...Carroll tafanyiwa upasuaji wa goti la kushoto ambapo aliumia katika game dhidi ya Southampton ambayo walitoka 0-0...Katika game hiyo Carroll alilazimika kubaki uwanjani akiwa na maumivu kutokana na timu yake kubakia 10 na walikuwa tayari wameshafanya substitution 3...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment