Monday 2 February 2015

AFCON 2015: IVORY COAST YAFANYA KWELI YAINGIA NUSU FAINALI


Ivory Coast imemchapa Algeria 3-1 katika mechi kali na ya kusisimua ya robo fainali...Ivory Coast sasa wanaingia nusu fainali bila shida ila inabidi waimarishe defence yao maana ilikuwa inayumba pande zote...Wilfred Bony mchezaji wa bei mbaya kupita wote Africa na striker wa Manchester City alipachika mabao 2 na Gervinho alipachika bao la mwisho dakika za mwisho...


Bao la kwanza la Bony la kichwa ililitokana na cross kutoka kutoka winga ya upande wa kulia na Max Gradel ndie aliingiza hiyo cross...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment