Thursday 12 February 2015

EPL: PAUL LAMBERT AFUKUZWA ASTON VILLA


Kutokana na kutofanya vizuri kwa timu ya Aston Villa uongozi wa Villa umeamua kumfukuza kazi kocha Paul Lambert...Villa walichapwa na Hull 2-0 ambao wote wako chini kwenye msimamo wa ligi na hii ni mechi ya 10 bila ushindi...


Villa wameweka historia ya kuwa na magoli machache sana katika mechi 25...Villa wana magoli 12 tu na mashabiki walikuwa wameshachoka Lambert...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment