Sunday 22 February 2015

F1: ALONSO ANUSURIKA BAADA YA AJALI MBAYA


Dereva wa timu ya McLaren, Fernando Alonso, amenusurika kwenye ajali mbaya iliyotokea kwenye corner moja kali sana ya Circuit de Barcelona-Catalunya...Madaktari wanayo mtibu wamesema yuko poa na labda atalala hospitali kwa uchunguzi zaidi lakini yuko poa...Ajali imetokea akiwa anafanya jaribio la 3 la awali kabla ya msimu kuanza...Sebastian Vettel ambae amechukua nafasi ya Alonso kwenye timu ya Ferrari alikuwa nyuma yake wakati ajali inatokea...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment