Tuesday 3 February 2015

BOXING:FRANSIS CHEKA JELA MIAKA 3


Mtanzania ambae ni bondia katika uzito wa kati (middleweight) Fransis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na faini ya milioni 1...Cheka alikuwa anakabiliwa na kosa la kutwanga meneja wa baa anaeimiliki Cheka  eneo la Vijana Social Hall huko Morogogo...Mahakama imesema kifungo hicho ni mfano kwa wale wataotumia umaarufu wao kunyanyasa watu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment