Tuesday 24 February 2015

TFF: MALINZI ATOA POLE KWA NIABA YA TFF NA WADAU WA SOKA NCHINI


Rais wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania Jamal Malinzi ametoa pole kwa niaba ya TFF na wadau wote wa soka nchini kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa timu ya Taifa Cristopher Alex aliyefariki juzi huko jijini Dodoma...Cristopher Alex alitoa mchango wake mkubwa katika soka la Tanzania kwa kuichezea Taifa Stars na club kubwa hapa jiji Dar es Salaam ya Simba SC...Max Sports na wadau tuna toa pole kwa ndugu jama na marafiki...Apumzike kwa amani...Amen...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment