Tuesday 3 February 2015

EPL: DIRISHA LA UAJILI LAFUNGWA NA JUAN CUADRADO NDANI YA CHELSEA


Msimu mdogo wa usajili umeisha na Chelsea wamemnyakua Colombian international winga Juan Cuadrado kwa pounds milioni 23.3...Huyu dogo alikuwa anatafutwa sana na timu kubwa za Arsenal na Manchester United...Crystal Palace walifanikiwa kuchukua wachezaji wa 4 akiwemo Wilfred Zaha...Hull City wamemvuta stiker wa Lokomotiv Moscow Dame N'Doye...Manchester United wamasajili beki Andy Kellett kutoka Bolton kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu...Timu 3 Arsenal, Manchester City na Chelsea ndio waliotumia pesa nyingi sana ambayo ni asilimia 50 ya pesa yote ya kusajili wachezaji premier league...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment