Thursday 26 February 2015

KILIMANJARO MARATHON 2015: RWANDAIR WADHAMINI TENA


RwandAir wamekuwa wadhamini wa usafiri wa anga tena wa Kilimanjaro Premium Larger Marathon itakayofanyika mjini Moshi Jumapili ijayo...Kili Marathon sasa inajulikana ulimwengu mzima na ni mashindano ya kila mwaka ambayo yanahusisha watu 6,000 na wageni kutoka nje ya nchi kama 800 ambao wanatoka nchi zaidi ya 40 tofauti...



Mbio zitaanza mapema saa 12:30 alfajiri na zitakuwa na umbali wa kilometa 42 lakini unaweza ukachagua kilometa  21.2 au 10 au 5...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment