Monday 16 February 2015

CAF CHAMPIONS LEAGUE: AZAM YAIPELEKA SHULE EL-MERREIKH


Katika uwanja wa Azam Complex huko Chamazi El-Merreikh wamepelekwa shule na Azam FC kwenye mechi ya club bingwa za Afrika ...Mechi hii ya awali imewaweka Azam mbele kwa mabao 2-0 na sasa inabidi walinde nafasi hii wasifungwe mechi ya marudiano zaidi ya bao 3...Wafungaji Azam walikuwa Didier Kavumbagu na substitute John Bocco...Bofya hapa uate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment