Saturday 28 February 2015

CAF CONFEDERATION CUP: YANGA YASONGA MBELE


Dar es Salaam Young Africans wamefanikiwa kufuzu round nyingine kombe la Confederation la Caf baada ya kuwatoa BDF XI kwa aggregate ya 3-2...Yanga ilifungwa 2-1 jana lakini magoli ya BDF XI hayakutosha kuwavusha timu hiyo ya Botswana...Mechi ilikuwa kali na timu zote zilijitahidi sana na Yanga ndio walioanza kwa makeke na gonga safi za hapa na pale na kukosa nafasi nzuri mapema kupitia kwa Ngassa...Yanga ambao ni mabingwa mara 24 katika ligi ya Tanzania walipata bao dakika ya 29 kupitia kwa Mrisho Khalfan 'Anko' Ngassa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment