Thursday 26 February 2015

CHAMPIONS LEAGUE: DEFENSE YA ARSENAL MBOVU NA SASA WANAKAZI YA KUPANDA MLIMA KITONGA NA BAISKELI


Arsenal sasa wamejiongezea matatizo kwa kuwa na defense mbovu sana na sasa wana kazi mithili ya kupanda mlima kitonga kwa baiskeli ya Swala siku wakirudiana na Monaco kwani jana walichapwa 3-1...Inabidi Arsena wafunge mabao 3 wakikutana tarehe 17 March katika uwanja wa Stade Louis II...


Historia ya Champions League inasema hakuna timu iliyofungwa kwao mabao 2 kwenye mechi ya awali nyumbani ilifanikiwa kuendelea na nashindano hayo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment