Sunday 1 February 2015

EPL: CHELSEA NA MAN CITY DRAW


Chelsea na Manchester City wametoka sare kwa bao 1-1 katika game ambayo ilioekana kama ingebadilisha matokeo ya msimamo wa ligi....Chelsea walianza kufunga kupitia Loic Remy dakika ya 41 na baada ya mud si mrefi Man City wakajibu kupitia Silva dakika ya 45 kutokana na kosa la kipa Thibaut Courtois ambalo si kawaida yake...Jose badae alimtoa mfungaji Remy na kuingiza beki Gary Cahill kwa kuwa aliridhika na hiyo point 1...Chelsea bado wanaongoza ligi wakiwa na point 5 mbele...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment