Friday 6 February 2015

SNOOKER: AKBERALI NA YUSUFALI WAINGIA NUSU FAINALI


Mug ya mwezi wa January ambao imedhaminiwa na Joseph Tango katika ukumbi wa snooker Dar es Salaam Gymkhana Club umepata upinzani mkali sana...Wachezaji wawili tayari wameingia nusu fainali ya michuano hiyo mikali uande wa Division A...Akil Akberali na Akhil Yusufli wamepambana sana robo fainali  na wainzani wao na hatimae kuinga nusu fainali...Akberali alimchapa Abbas Yusufali ambae ni kati ya wachizaji wakali wa snooker Gymkhana Club 2-1...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment