Thursday 5 February 2015

FA CUP: LIVERPOOL YAICHAPA BOLTON


Liverpool FC imefanikiwa kuingia round ya 5 baada ya kuichapa Bolton Wanderers mabao 2-1...Bolton walikuwa bado kidogo washinde game lakini Liverpool walichachamaa dakika za mwisho na kupata mabao mawili ya chap chap...Eidur Gudjohnsen aliipatia Bolton bao kuitia penalty dakika ya 59 na badae Raheem Sterling alipasua defense ya Bolton na kupachika bao dakika ya 86 na Philippe Coutinho akamalizia na bao safi dakika ya 90...



Liverpool sasa watakutana na Crystal Palace kwenye round ya 5 ya FA Cup...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment