Wednesday 18 February 2015

EPL: THIERRY HENRY APEWA NAFASI YA KUFUNDISHA VIJANA EMIRATES


Arsenal legend Thierry Henry amepewa fursa ya kufundisha vijana katika Academy ya club...Ni habari njema kwa maendeleo ya club ya Arsenal hasa ukizingatia Henry ataleta uzoefu mkubwa na pia atakuwa na uwezo wa kufundisha timu kubwa hapo badae...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment