Sunday 8 February 2015

AFCON 2015: DR CONGO MSHINDI WA 3


DR Congo majirani zetu wamefanikiwa kuchukua nafasi ya 3 kwenye mashindano ya kombe la Afcon...Congo waliingia uwanjani na wenyeji Equatorial Guinea na kutoka sare 0-0 na hatimaye kuingia kwenye matuta na kushinda 4-2...Kulikuwa hakuna fujo kwani mechi iliyopita tuliona fujo ambazo ziliipa jina baya sana Guinea kwani mashabiki wakikuwa wanatupa vitu ovyo na kufanya vurugu...Guinea walipigwa faini na Caf ya pound 65,000 kutokana na vurugu hizo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment