Saturday 21 February 2015

SERIE A: JUVE WAKO POINTS 10 MBELE YA WOTE


Juventus wako points 10 mbele ya timu zote baada ya kutoka nyuma na kuwafunga Atalanta 2-1....Mabingwa hao waliweza kujihakikishia ushindi baada ya veteran Andrea Pirlo kupachika bao la free-kick mbali toka yadi 35 kabla ya half-time...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment