Wednesday 18 February 2015

CHAMPIONS LEAGUE: CHELSEA YAPONEA KWA KUPAKI BASI


Chelsea FC jana ilifanikiwa wa kupata goli la 'away' baada ya kutoka sare na PSG 1-1...Chelsea walipata bao dakika ya 36 kupitia kichwa cha Branislav Ivanovic bao ambao lilisababishwana na cross ya John Terry...PSG walishambulia sana kipindi cha 2 na kufankiwa kupata bao walilostahili kupitia Edison Cavani dakika ya 54...PSG ilikuwa washinde kupitia kwa huyo huyo Cavani ambaye lipiga pembeni baada ya kucheza pasi safi na Blaise Matuidi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment