Sunday 1 February 2015

AFCON 2015: TUNISIA YATUPWA NJE KWA MIZENGWE YA REFA

Wachezaji wa Equatorial Guinea wakishangilia ushindi...
Tunisia walikuwa wamejihakikishia nafsi ya kucheza nusu fainali lakini mambo hayakuwa mambo baada ya refa kutoa penalty ya mizengwe wakati Ali Maaloul alipoadhibiwa kimakosa kwa kumfanyia foul Ivan Bolado...Kulitokea fujo wakati wachezaji wa Tunisia walivyomzonga refa na ikabidi wasimamizi na maaskari wasaidie kutuliza vurugu baada ya game maana mashabiki wa Equatorial Guinea waliingia uwanjani kushangilia ushindi na vyupa vikawa vinapaa angani...


Refa kilindwa asile kichao kutoka kwa wachezaji wa Tunisia...
Javier Balboa alisawazisha kuitia hiyo penalty na mira ukaongezwa muda na huyo huyo Balboa alipachika bao la ushindi kupitia free-kick...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment