Friday 20 February 2015

CHAMPIONS LEAGUE: REAL YAJIWEKA NAFASI NZURI


Real Madrid wamefanikiwa kuwafunga FC Shalke mabao 2-0 na kuwa na nafasi nzuri kwenye mechi ya marudiano tarehe 10 mwezi wa 3...Ronaldo ameanza tena kufunga kwa kuwapatia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 26 kutoka cross ya Dani Carvajal....Real waliongeza bao kupitia kwa Marcelo dakika ya 76...Forward ya Real ilikuwa inamashaka kabla ya kucheza lakini Real Madrid ilimaliza game na 61% possession...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment