Sunday 15 February 2015

NBA ALL-STAR: STEPHEN CURRY AWASHANGAZA MASHABIKI


Kwa mara ya kwanza Stephen Curry ameshinda shindano la 3 points katika michuano ya wakali wa wakali wa NBA All-Star jijini New York...Curry alipata points 27 round ya mwsho na alifunga baskets 13 mfululizo kabla ya kukosa shot yake ya mwisho na kuamsha mashabiki kibao kwenye ukumbi wa Barclay's Center kwa kushangilia sana...


Curry aliwakumbuka vijana wa 3 waliouwawa jijini North Carolina kwa kuandika jina la mmoja wao kwenye kiatu chake...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment