Friday 27 February 2015

EUROPA LEAGUE: LIVERPOOL YATOLEWA KWENYE MATUTA


Liverpool wameaga michuano ya Europa League mwisho kabisa kwenye matuta baada ya kutolewa na Besiktas 5-4...Liverpool walicheza vizuri kipindi cha kwanza lakini walishindwa kufunga na mambo yakabadilika kipindi cha pili baada ya Besiktas kushambulia sana na kupata bao dakika ya 72 kupitia kwa Tolgay Arslan...


Ba alikosakosa bao dakika ya mwisho alivyo gonga mwamba...Kutokana na agraggate kuwa 1-1 ilibidi aongeze muda alafu waingie kwenye matuta...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment