Wednesday 25 February 2015

CAF CONFEDERATION CUP: YANGA KUMKOSA COUTINHO

Coutinho...
Andrey Coutinho atakosa mechi muhimu ya 2 Caf Confederation Cup dhidi ya Botwana Defence Force (BDF X1) Ijumaa ijayo huko Botswana kutokana na kujeruhiwa kwenye mchi ya Vodacom Premier League dhidi ya Mbeya City...Yanga waliibuka na mabao 2 katika mechi yao ya awali dhidi ya BDF X1...

Nizar Khalfan...
Katibu wa club ya Yanga, Dr. Jonas Tibohora, amesema pamoja na Coutinho wako wengine watakosa ambano hilo...Midfielder Nizar Khalfan na beki Charles Wanyama watakosa mechi hiyo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment