Wednesday 25 February 2015

CHAMPIONS LEAGUE: SUAREZ AIZAMISHA MAN CITY


Manchester City hali sio nzuri kwani wana mlima wa kupanda mechi ya marudino mbayo itakuwa tarehe 18 March...Luis Suarez mwenye gharma ya milioni 75 amefanikiwa kuzamisha mabao 2 dhidi ya Man City kwenye game muhimu ya Champions League...Hali ingekuwa tete kama Messi nae angefanukiwa kufunga penalty lakini mpira uliisha 2-1...


Goli pekee la City lilitoka kwa Aguero dakika ya 69...Kipindi cha kwanza chote City walikimbizwa sana na walipata nafuu kipindi cha 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment