Position | Team | Played | GoalDifference | Points |
---|---|---|---|---|
1 | Chelsea | 26 | 34 | 60 |
2 | Man City | 26 | 31 | 55 |
3 | Arsenal | 26 | 20 | 48 |
4 | Man Utd | 26 | 18 | 47 |
5 | Southampton | 26 | 19 | 46 |
6 | Liverpool | 26 | 9 | 45 |
7 | Tottenham | 26 | 5 | 44 |
8 | West Ham | 26 | 8 | 39 |
9 | Swansea | 26 | -4 | 37 |
10 | Stoke | 26 | -4 | 36 |
11 | Newcastle | 26 | -11 | 32 |
12 | Everton | 26 | -4 | 28 |
13 | Crystal Palace | 26 | -9 | 27 |
14 | West Brom | 26 | -10 | 27 |
15 | Hull | 26 | -10 | 26 |
16 | Sunderland | 26 | -14 | 25 |
17 | QPR | 26 | -18 | 22 |
18 | Burnley | 26 | -19 | 22 |
19 | Aston Villa | 26 | -23 | 22 |
20 | Leicester | 26 | -18 | 18 |
Saturday, 28 February 2015
EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA
CAF CONFEDERATION CUP: YANGA YASONGA MBELE
Friday, 27 February 2015
QATAR 2022: BLATTER ASEMA LAZIMA IMALIZIKE IFIKAPO DECEMBER 18
Mzozo unaendelea juu ya lini World Cup ya Qatar 2022 ichezwe kwani kipindi cha kawaida cha mwezi wa 6 haitowezekana kucheza kutokana na joto kali huko Qatar...Vikao vinaendelea kutafuta muda muafaka wa kuchezana imependekezwa November na December ndio sahihi lakini jibu kamili litatolewa tarehe 20 March...Rais wa Shirikisho la Soka Duniani Fifa, Sepp Blatter, amesema ni lazima World Cup imalizike December 18 na si vinginevyo...Bofya hapa upate habari zaidi.
EPL: RATIBA YA MECHI ZA WEEKEND (GMT)
SAT 28 FEB 2015 - PREMIER LEAGUE
- West HamvCrystal Palace12:45
- BurnleyvSwansea15:00
- Man UtdvSunderland15:00
- NewcastlevAston Villa15:00
- StokevHull15:00
- West BromvSouthampton15:00
- LiverpoolvMan City12:00
- ArsenalvEverton14:05
EUROPA LEAGUE: LIVERPOOL YATOLEWA KWENYE MATUTA
Liverpool wameaga michuano ya Europa League mwisho kabisa kwenye matuta baada ya kutolewa na Besiktas 5-4...Liverpool walicheza vizuri kipindi cha kwanza lakini walishindwa kufunga na mambo yakabadilika kipindi cha pili baada ya Besiktas kushambulia sana na kupata bao dakika ya 72 kupitia kwa Tolgay Arslan...
Ba alikosakosa bao dakika ya mwisho alivyo gonga mwamba...Kutokana na agraggate kuwa 1-1 ilibidi aongeze muda alafu waingie kwenye matuta...Bofya hapa upate habari zaidi.
NBA: AFRICAN-AMERICAN WA KWANZA KUCHEZA NBA AFARIKI DUNIA
Earl Lloyd amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86...Lloyd alianza kucheza basketball kama professional October 31, 1950 akiwa na timu ya Washington Capitols na alikuwa mtu wa kwanza mwenye asili ya kiafrika kucheza basketball kipindi hicho...
Lloyd amefungulia milango kwa vijana wengi kupata nafasi ya kucheza basketball kipindi ambacho ubaguzi wa rangi ulikuwa mkubwa na mpaka miaka ya 60 na 70 mambo yakaanza kuwa afadhali...Max Sports na wadau tunakuombea upumzike kwa amani...Amen...Bofya hapa upate habari zaidi.
Thursday, 26 February 2015
LA LIGA: BUSQUETS ATSAINI MKATABA MPYA BARCA
KILIMANJARO MARATHON 2015: RWANDAIR WADHAMINI TENA
RwandAir wamekuwa wadhamini wa usafiri wa anga tena wa Kilimanjaro Premium Larger Marathon itakayofanyika mjini Moshi Jumapili ijayo...Kili Marathon sasa inajulikana ulimwengu mzima na ni mashindano ya kila mwaka ambayo yanahusisha watu 6,000 na wageni kutoka nje ya nchi kama 800 ambao wanatoka nchi zaidi ya 40 tofauti...
Mbio zitaanza mapema saa 12:30 alfajiri na zitakuwa na umbali wa kilometa 42 lakini unaweza ukachagua kilometa 21.2 au 10 au 5...Bofya hapa upate habari zaidi.
CHAMPIONS LEAGUE: DEFENSE YA ARSENAL MBOVU NA SASA WANAKAZI YA KUPANDA MLIMA KITONGA NA BAISKELI
Arsenal sasa wamejiongezea matatizo kwa kuwa na defense mbovu sana na sasa wana kazi mithili ya kupanda mlima kitonga kwa baiskeli ya Swala siku wakirudiana na Monaco kwani jana walichapwa 3-1...Inabidi Arsena wafunge mabao 3 wakikutana tarehe 17 March katika uwanja wa Stade Louis II...
Historia ya Champions League inasema hakuna timu iliyofungwa kwao mabao 2 kwenye mechi ya awali nyumbani ilifanikiwa kuendelea na nashindano hayo...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 25 February 2015
CAF CONFEDERATION CUP: YANGA KUMKOSA COUTINHO
Coutinho... |
Andrey Coutinho atakosa mechi muhimu ya 2 Caf Confederation Cup dhidi ya Botwana Defence Force (BDF X1) Ijumaa ijayo huko Botswana kutokana na kujeruhiwa kwenye mchi ya Vodacom Premier League dhidi ya Mbeya City...Yanga waliibuka na mabao 2 katika mechi yao ya awali dhidi ya BDF X1...
Nizar Khalfan... |
Katibu wa club ya Yanga, Dr. Jonas Tibohora, amesema pamoja na Coutinho wako wengine watakosa ambano hilo...Midfielder Nizar Khalfan na beki Charles Wanyama watakosa mechi hiyo...Bofya hapa upate habari zaidi.
CHAMPIONS LEAGUE: SUAREZ AIZAMISHA MAN CITY
Manchester City hali sio nzuri kwani wana mlima wa kupanda mechi ya marudino mbayo itakuwa tarehe 18 March...Luis Suarez mwenye gharma ya milioni 75 amefanikiwa kuzamisha mabao 2 dhidi ya Man City kwenye game muhimu ya Champions League...Hali ingekuwa tete kama Messi nae angefanukiwa kufunga penalty lakini mpira uliisha 2-1...
Goli pekee la City lilitoka kwa Aguero dakika ya 69...Kipindi cha kwanza chote City walikimbizwa sana na walipata nafuu kipindi cha 2...Bofya hapa upate habari zaidi.
Tuesday, 24 February 2015
CRICKET WORLD CUP 2015: CHRIS GAYLE AWEKA HISTORIA
Batsman Chris Gayle kutoa Jamaika ameweka historia kuwa mtu wa kwanza kuwa na 'double century' kwenye World Cup ya Cricket...Gayes alipata innings 215 katika mechi dhidi ya Zimbabwe kwenye Pool B huko Canberra...Rekodi ya zamani ilikuwa 188 innings not out na aliiweka Gary Kirsten kutoka Afrika ya Kusini mwaka 1996...Bofya hapa upate habari zaidi.
TFF: MALINZI ATOA POLE KWA NIABA YA TFF NA WADAU WA SOKA NCHINI
Rais wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania Jamal Malinzi ametoa pole kwa niaba ya TFF na wadau wote wa soka nchini kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa timu ya Taifa Cristopher Alex aliyefariki juzi huko jijini Dodoma...Cristopher Alex alitoa mchango wake mkubwa katika soka la Tanzania kwa kuichezea Taifa Stars na club kubwa hapa jiji Dar es Salaam ya Simba SC...Max Sports na wadau tuna toa pole kwa ndugu jama na marafiki...Apumzike kwa amani...Amen...Bofya hapa upate habari zaidi.
Monday, 23 February 2015
EPL: VAN PERSIE ATEMBELEA MAGONGO BAADA YA KUUMIA KWENYE GAME YA SWANSEA
Robin van Persie aliumia katika game dhidi ya Swansea ambayo swansea waliibuka na ushindi wa 2-1...
Van Persie ambae anamagoli 10 msimu huu ilibidi aendelee kucheza na maumivu kutokana na hali halisi ambayo walikuwa wametumia nafasi zote 3 za substitution...Bofya hapa upate habari zaidi.
EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA
Position | Team | Played | GoalDifference | Points |
---|---|---|---|---|
No movement1 | Chelsea | 26 | 34 | 60 |
No movement2 | Man City | 26 | 31 | 55 |
No movement3 | Arsenal | 26 | 20 | 48 |
No movement4 | Man Utd | 26 | 18 | 47 |
No movement5 | Southampton | 26 | 19 | 46 |
Moving up6 | Liverpool | 26 | 9 | 45 |
Moving down7 | Tottenham | 26 | 5 | 44 |
No movement8 | West Ham | 26 | 8 | 39 |
No movement9 | Swansea | 26 | -4 | 37 |
No movement10 | Stoke | 26 | -4 | 36 |
No movement11 | Newcastle | 26 | -11 | 32 |
No movement12 | Everton | 26 | -4 | 28 |
No movement13 | Crystal Palace | 26 | -9 | 27 |
No movement14 | West Brom | 26 | -10 | 27 |
No movement15 | Hull | 26 | -10 | 26 |
No movement16 | Sunderland | 26 | -14 | 25 |
No movement17 | QPR | 26 | -18 | 22 |
No movement18 | Burnley | 26 | -19 | 22 |
No movement19 | Aston Villa | 26 | -23 | 22 |
No movement20 | Leicester | 26 | -18 | 18 |
Subscribe to:
Posts (Atom)