Friday 6 March 2015

VPL: KAZI IKO YA KUREKEBISHA PRISONS ASEMA KOCHA MPYA


Mbwana Mataka kocha mpya wa Prisons amesema bado kazi nyingi lazima ifanyike kukiimarisha kikosi cha Prisons FC ya Mbeya...Mataka ametokea Arusha JKT Oljoro na amekuja kwa nia ya kuisaidia timu hiyo ambayo iko mkiani kwa sasa na kati ya mechi 17 wanapoints 13 tu...Mpaka sasa wameshinda mechi moja tu na kutoa draw 10 na mechi nzilizobaki wamechapwa...Mataka anachukua nafasi ya kocha David Mwamwaja aliyetimuliwa baada ya Prisons kuchapwa 5-0 na Simba Sports Club...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment