Tuesday 3 March 2015

F1: FERNANDO ALONSO KUKOSA AUSTRALIAN GP


Dereva wa McLaren, Fernando Alonso, ameshauriwa na madaktari wake asiendeshe kabisa msimu ukianza tarehe 15 March huko Melbourne Australia...Madaktari wanaseka Alonso yuko poa lakini wanahofia anajiumiza tena kwahiyo apumzike kwanza....Alonso alipata ajali tarehe 22 akiwa kwenye majaribio huko Circuit de Barcelona-Catalunya aligonga kingo akiwa na spidi 215km/h...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment