Saturday 14 March 2015

F1: GIERDO VAN DER GARDE AWASAMEHE SAUBER

Van der Garde...
Tutokana na kesi inayoendelea Giedo van der Garde ameamua kuwasamehe timu ya Sauber ili waweze kushiriki kwenye Australian GP kesho maana bila hivyo Sauber wangezuiwa kushriki na asset zao kukamatwa pamoja na team Principal wao Monisha Kaltenborn kupelekwa jela...

Monisha Kaltenborn...Principal wa Sauber na anamiliki 33.3%
Van der Garde amesema amechukua uamuzi mgumu lakini ni kusaidia mashindano yaanze vizuri na watajaribu kumalizana vizuri na Sauber kutokana na matatizo hayo ya mkataba wake...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment