Wednesday 4 March 2015

NBA: NUGGETS WAMTIMUA BRIAN SHAW


Kocha wa Denver Nuggets, Brian Shaw, ametimulia na kocha msaidizi Melvin Hunt atakuwa kocha wa muda mpaka msimu uishe...Shaw ametimuliwa kutokana na timu kutofany vizuri na ugomvi wa mara kwa mara ndani ya looker room...Nuggets sasa iko 20-39 katika msimu wa 2 ambao Shaw ameshikilia timu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment