Saturday 14 March 2015

BASKETBALL: MAMBO YA PAZI REUNION HUKO HUSTON TEXAS YANAENDELEA POA

Kasesela akiwa na wada waliompokea
uwanja wa ndege...Picha na VIJIMAMBO
Mdau mkubwa wa basketball ambae pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Madini nchini, Richard Kasesela, ameingia ndani ya Jiji la Huston Texas kuungana na wadau wengine wengi katika ukumbusho wa timu kongwe kali ya Pazi...Kasesela alipokelewa na wadau wa Pazi Reunion katika uwanja wa George Bush Intercontinental Airport huko Huston tayari kwa hiyo reunion leo katika uwanja wa basketball wa Pilgrim katika Kanisa la Kiluteri huko Huston...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment