Tuesday 17 March 2015

FA CUP: READING NDANI YA NUSU FAINALI NA ARSENAL


Baada ya miaka 88 Reading Football Club wanaingia nusu fainali kwa mara nyingine.


Reading wameua ndoto za Bradford baada ya kuwachapa mabao 3-0.

Mabao yalianza kuingia mapema kabisa mnamo dakika ya 6 kupitia kwa Hal Robson-Kanu na dakika ya 9 kutoka kwa Garath McCleary.

Reaing sasa watakutana na mabingwa wa FA Cup Arsenal tarehe 18 au 19 mwezi wa 4...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment